habari mpya
mradi wa majisafi uliokamilika mwakakati tunduma
TANK LA MAJI MWAKAKATI UWANJANI
Lenye uwezo wa kuchukua lita 500000 za maji na kuweza kusambaza kwa wakazi wote wa mwakakati na tunduma kwa ujumla
pia kuna pump house hapo chini
hii ipo maomboleo kwajiri ya kupeleka maji kwenye tank kule mwakakati uwanjani







