Fahamu hapa namna huduma ya maji inaweza kusitishwa endapo mtu atakiuka masharti

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tunduma itasitisha huduma ya maji kwa mteja endapo atafanya yafuatayo:-
- Kushindwa kulipa ankara (bili) ya kila mwezi
- Ikabainika kua mteja amesababisha mivujo ya maji kwa makusudi
- Kuiba maji kwa namna yoyote mfano:- kujiungajishia maji kinyume na utaratibu, kuharibu dira ili isisome vizuri, kukata bomba linalota maji n.k
- Mteja ataambiwa gharama za kuunganishiwa maji na vifaa ambazo atatakiwa kuzilipa katika ofisi za Mamlaka.
Hivyo Mamlaka inawasisitiza wateja kufuata taratibu zilizowekwa za kuunganisha maji na kulipia ankara za maji kila mwezi ili kuepuka gharama na adhabu zinazosababishwa na kusitishiwa huduma.
HABARI MPYA
mradi wa majisafi…….
habari mpya mradi wa majisafi uliokamilika mwakakati tunduma TANK LA MAJI MWAKAKATI UWANJANI Lenye uwezo wa kuchukua lita 500000 za ...
soma zaidi
soma zaidi

