mradi wa majisafi…….

habari mpya mradi wa majisafi uliokamilika mwakakati tunduma TANK LA MAJI MWAKAKATI UWANJANI Lenye uwezo wa kuchukua lita 500000 za maji na kuweza kusambaza kwa wakazi wote wa mwakakati na tunduma kwa ujumla pia kuna pump house hapo chini hii ipo maomboleo kwajiri ya kupeleka maji kwenye tank kule mwakakati uwanjani